
Arajiga wa 5-1 apewa tena Kariakoo Dabi
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imemtangaza Ahmed Arajiga kutoka mkoani Manyara kuwa mwamuzi wa kati wa mchezo wa Simba na Yanga utakaopigwa, Jumamosi hii . Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kuanzia saa 11:00 jioni, Yanga ikiwa mwenyeji. Katika mchezo huo, Mohamed Mkono kutoka Tanga…