
‘Mbinu upelelezi kesi za majangili ziimarishwe’
Lushoto. Jaji wa Mahakama ya Rufani, Dk Paul Kihwelo amehimiza kuimarishwa kwa mbinu za upelelezi wa mashauri ya uhalifu dhidi ya wanyamapori na misitu ili kupata ushahidi utakaowezesha haki itendeke kwa wenye hatia. Jaji Kihwelo ambaye pia ni Mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) mkoani Tanga, amesema hayo jana Aprili 29, 2024…