
Mshitakiwa akana maelezo yake, adai hajui kilichomuua mkewe
Geita. Mshtakiwa Bahati Shija anayekabiliwa na shitaka la kumuua mkewe, Grace Daud kwa kumpiga na chuma kichwani ya kukataa kurudiana naye, ameiambia Mahakama hajui sababu za kifo hicho. Kauli ya mshitakiwa huyo imekuja siku moja baada ya shahidi wa tatu, E.7719 Sajenti Pascal ambaye ni Askari Mpelelezi Wilaya ya Geita aliyerekodi maelezo ya onyo ya…