
Hivi ndivyo Tanzania inavyoweza kukabili athari za mafuriko
Dar es Salaam. Uwepo wa utashi wa kisiasa, matumizi ya sayansi kupewa nafasi na kubainishwa kwa maeneo hatarishi ni miongoni mwa hatua zilizopendekezwa na wanazuoni kukabiliana na athari za mafuriko Tanzania. Mapendekezo ya wanazuoni yametolewa katika kipindi ambacho maeneo mbalimbali nchini yanakabiliwa na athari za mafuriko ambayo hadi sasa yameondoa uhai wa watu takribani 58…