KONGAMANO KUBWA LA DIASPORA NCHINI MAREKANI
Karibu kwenye kongamano kubwa la DIASPORA Marekani litakalofanyika Katika Hotel yenye mandhali ya kiAfrika inayoitwa Kalahari, ni Sept 26 mpaka 29 ni kongamano la siku 3 limesheheni mambo makubwa ikiwemo Kuelimisha, kubadilishana mawazo, michezo na burudani BOFYA HAPA UJISAJILI. Hili kongamano Litakutanisha Diaspora kutoka kote Duniani wadau mbalimbali kutoka sekta zote Tanzania wakiwemo wafanya biashara…