Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Day: May 1, 2024

  • Home
  • 2024
  • May
  • 1
Habari

VIJANA WALIOHITIMU MAFUNZO JKT WAONYWA KUHUSU MATUMIZI YA MITANDAO YA KIJAMII

May 1, 2024 Admin

Gwaride la Heshima la Vijana wa kujitolea likipita mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Salum Kalli (hayupo pichani) kabla ya kufunga mafunzo ya awali

Read More
Habari

MZAVA AMESISITIZA MANUNUZI YA UMMA KUPITIA KATIKA MFUMO WA KIDIGITAL WA NEST

May 1, 2024 Admin

Mwamvua Mwinyi, KibahaMei 1 MWENGE wa Uhuru utapitia miradi 28 yenye thamani ya trilioni 8.5 wilayani Kibaha, mkoani Pwani, ambapo umekagua mradi mkubwa wa Kongani

Read More
Habari

MEI MOSI YAFANA ARUSHA, RC MAKONDA ALIA NA UBOVU WA BARABARA

May 1, 2024 Admin

   Na. Vero Ignatus Arusha Maadhimisho ya sherehe za mei mosi kit aifa yamefanyika Mkoani Arusha ambapo yamekuwa na zaidi ya waandamanaji 7000 mbali na

Read More
Habari

SMZ YATENGA BILIONI 34 POSHO YA NAULI KWA WAFANYAKAZI

May 1, 2024 Admin

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa wafanyakazi wa SMZ wataongezewa posho ya shilingi 50,000 ya nauli ili

Read More
Michezo

Gamondi adai Pacome bado, mwenyewe afunguka

May 1, 2024 Admin

KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi amemtazama nyota wake Pacome Zouzoua kwa dakika 20 alizompa katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) dhidi

Read More
Habari

MWENGE WA UHURU KUPITIA MIRADI 28 YENYE THAMANI YA TRILIONI 8.5 KIBAHA

May 1, 2024 Admin

Mwamvua Mwinyi, KibahaMei 1 MWENGE wa Uhuru utapitia miradi 28 yenye thamani ya trilioni 8.5 wilayani Kibaha, mkoani Pwani, ambapo umekagua mradi mkubwa wa Kongani

Read More
Michezo

Pacome apewa dakika 20, Yanga ikitinga nusu fainali FA

May 1, 2024 Admin

BAADA ya kukosekana katika michezo saba katika mashindano tofauti sawa na dakika 630, kiungo Pacome Zouzoua amecheza dakika 20 wakati Yanga ikitinga nusu fainali ya

Read More
Michezo

Faini zatawala Ligi Kuu Bara

May 1, 2024 Admin

KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Bara (TPLB) katika kikao cha Aprili 30, mwaka huu imepitia matukio yaliyojitokeza katika

Read More
Habari

Mkurugenzi wa zamani ZBC ambwaga tena DPP kortini

May 1, 2024 Admin

Zanzibar. Jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufani Tanzania, limeitupilia mbali rufaa iliyokuwa imekatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) dhidi ya aliyekuwa mkurugenzi

Read More
Michezo

Mghana aipeleka Coastal nusu fainali FA, yaisubiri Azam, Namungo FC

May 1, 2024 Admin

COASTAL Union imetinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo mkali

Read More

Posts pagination

1 2 … 10 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.