
MAWAZIRI EAC WAAZIMIA KUONGEZA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA AFYA
Mawaziri wanaosimamia Sekta ya Afya katika Nchi Wanachama wa Jumuiya Afrika Mashariki wameweka mikakati na kukubaliana kuongeza ushirikiano zaidi katika kuboresha utoaji wa huduma katika sekta hiyo. Azma hiyo imefikiwa leo tarehe 3 Mei 2024 kwenye Mkutano wa Kawaida wa 24 wa Baraza la Mawaziri la Sekta ya Afya la Afrika Mashariki uliofanyika jijini Dar…