
Kamati ya Bunge yaridhishwa na maelekezo wanayotoa kwa DART
*DART yaahidi kufanyia kazi maelekezo mengine kiutendaji Na Chalila Kibuda, Michuzi TV Kamati ya Bunge ya Kudumu ya TAMISEMI imesema kuwa imeridhishwa maelekezo wanayotoa kwa Wakala wa Mabasi yaendayo (Haraka) yanafanyiwa kazi. Hayo ameyasema Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Justin Nyamoga wakati Kamati hiyo ilipotembelea Miradi ya Mabasi yaendayo Haraka jijini Dar es Salaam amesema…