
JUMUIYA YA WAZAZI IKUNGI YAPOKEA VIFAA VYA UJENZI KUTOKA KWA MISANGA.
Mjumbe kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Singida Ndg Ahmed Misanga ambae pia ni mratibu wa shughuli za wazazi ikungi ametoa Vifaa Vya ujenzi wa nyumba ya Mtumishi wa Jumuiya hiyoMisanga Ametoa Vifaa hivyo alipo tembelea na kujionea maendelo ya ujenzi huo. “Nimetoa vifaa hivii ikiwa ni muendelezo wa Michango yangu katika…