Asilimia 12 ya Watanzania wana maradhi ya pumu

Dar es Salaam. Zaidi ya Watanzania 7,200,000, sawa na asilimia 12, wanaugua ugonjwa wa pumu unaoathiri mfumo wa upumuaji, huku wengi wao wakiwa ni watoto walio chini ya umri wa miaka 16, Wizara ya Afya imebainisha. Pumu unakuwa ugonjwa wa pili kuwaathiri zaidi Watanzania baada ya shinikizo la juu la damu linaloathiri asilimia 26 ya…

Read More

WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZA NA BALOZI WA SWITZERLAND NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba (Mb.) amekutana na kuzungumza na Balozi wa Switzerland nchini Mhe. Didier Chassot leo tarehe 7 Mei 2024 katika Ofisi ndogo ya Wizara jijini Dar es Salaam. Katika Mazungumzo yao viongozi hao wamejadili namna kukuza na kuimarisha ushirikiano katikaSekta ya ulinzi na usalama…

Read More

Timu ya madaktari bingwa wa Dkt.Samia waanza kutoa huduma za kibingwa mkoani Njombe

Timu ya madaktari bingwa 30 waliowasili mkoani Njombe wameanza kutoa huduma katika hospitali za wilaya zote mkoani humo huku wito ukitolewa kwa wananchi kujitokeza kupata matibabu ili kupunguza ghalama kwa kufuata huduma hizo katika hospital kubwa nchini. Michuzi blog imefika katika Hospitali ya mji wa Njombe Kibena na kushuhudia huduma zikiendelea ikiwemo mama mjamzito aliyefanyiwa…

Read More

TANZANIA NA CHINA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIMKAKATI

Serikali ya Tanzania na China zimesisitiza kuimarisha ushirikiano wa kimkakati ili kuendelea kutekeleza diplomasia ya uchumi kwa maslahi ya pande zote mbili. Msisitizo huo umetolewa wakati Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) alipokutana kwa mazungumzo na Balozi wa China nchini, Mhe. Chen Mingjian katika ofisi ndogo za…

Read More

VIDEO: CCM yakoleza moto wa fedha chafu Chadema

Dar es Salaam. Ikiwa imepita takribani wiki moja tangu Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu kudai kuna fedha zimemwagwa kuvuruga uchaguzi wa ndani ya chama hicho, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeitaka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kukichunguza chama hicho. Mbali na Ofisi ya Msajili, CCM pia wameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana…

Read More

PIGA PESA NA MECHI ZA UEFA

HATIMAYE leo hii ndio kitaeleweka nani aende Nusu Fainali na nani arudi nyumbani kwenye ligi za mabingwa ambapo leo na kesho kitawaka vilivyo yaani ni piga ni kupige. Na wewe unaweza kuondoka na kitita cha mkwanja leo. Leo hii majira ya saa 4:00 usiku PSG baada ya kupoteza mchezo wa kwanza wa hatua za Nusu…

Read More