
Wakili wa kujitegemea Oscar Ngole akutwa amefariki dunia nyumbani kwake Moshi
Moshi. Wakili wa kujitegemea Mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro, Oscar Ngole amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake Soweto. Omega Ngole, kaka wa marehemu Oscar (42) amethibithisha kifo cha ndugu yake ambaye awali aliwahi kuwa Mwanasheria wa Serikali. Aliondoka kwenye nafasi ya wakili wa Serikali mwaka 2011 na kuwa wakili wa kujitegemea. Amesema Oscar amefariki dunia jioni ya…