
Mbinu mpya uendeshaji Kikoba kidijitali
Dar es Salaam. Benki ya Maendeleo Tanzania (TCB) imezindua huduma ya Kikoba Mix Kidijitali kuwezesha wanachama kutengeneza kikundi mtandaoni na kuwa na uwezo wa kuweka michango, bila kujali mtandao wa simu wanaotumia. Mkurugenzi wa TCB, Adam Mihayo ameeleza hayo leo Mei 9, 2024 alipozindua kampeni ya ‘Toboa na Kikoba’ itakayowezesha vikundi kufanya kazi kidijitali. Aina…