
Dreamliner ATCL yafumuliwa injini Malaysia
Dar es Salaam. Ndege ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL), Boeing Dreamliner ipo kwenye matengenezo makubwa ya lazima katika mji wa Kuala Lumpur, nchini Malaysia, Mwananchi limebaini. ATCL imekiri kuwa ndege hiyo yenye namba za usajili 5H-TCJ ipo kwenye matengenezo hayo tangu Novemba 2023 na inatarajiwa kukamilika Juni, 2024. Hii ni ndege ya pili…