
MICHEZO NI AFYA, NI FURSA YA AJIRA – MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema michezo ni zaidi ya afya na burudani, ni fursa ya ajira na pia hupunguza magonjwa mwilini. “Kama mnavyofahamu, michezo ni zaidi ya afya na burudani lakini leo tunathibitisha kuwa baada ya mbio hizi, sote tumefurahi na miili yetu imeimarika.” Ametoa kauli hiyo leo (Jumamosi, Mei 11, 2024) wakati akizungumza na…