
Hatua za kuchukua kuepuka malaria kali
Dar es Salaam. Wizara ya Afya, imeitaka jamii kujikinga dhidi ya ugonjwa wa malaria, ikitaja hatua za kuchukua kuepuka ugonjwa huo, huku takwimu zikionyesha kuongezeka kwa wagonjwa na vifo vya malaria nchini. Kulala ndani ya chandarua chenye dawa, kufukia madimbwi, kufyeka nyasi, kupaka dawa zinazozuia mbu na kufika vituo vya afya pindi wanapopata homa, ni…