
Hali si shwari kwenye familia
Dar es Salaam. Wakati Tanzania inaungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Familia, taasisi hiyo imeendelea kukabiliwa na changamoto lukuki ikiwamo migogoro ya ndoa, malezi duni na ongezeko la watoto wa mitaani. Changamoto hizi zimechochea mmomonyoko wa maadili miongoni mwa watoto na vitendo vyenye athari ikiwamo kujihusisha na vitendo vya ngono katika umri…