
Tunataka Katiba lakini… | Mwananchi
Unguja. Ili kupata Katiba mpya, maendeleo ya demokrasia, chaguzi zenye haki na utawala bora, wadau wametoa mapendekezo wakitahadharisha madai yafanyike pasipo umwagaji damu. Viongozi wa dini, asasi za kiraia na wanasiasa wamesema umefika wakati wa kushirikiana kama Taifa bila kujali tofauti za vyama au dini kuandamana kwa njia ya amani kudai Katiba mpya, vinginevyo itapita…