
ACT-Wazalendo wasubiri kamati ya uongozi kuamua hatima ya SUK
Unguja. ACT Wazalendo inasubiri kikao cha Kamati ya uongozi ya chama hicho kufanya tathmini ya mwenendo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) ili kuamua kuendelea au kukaa pembeni. Wakati ikisubiria hatua hiyo, chama hicho kimewaagiza viongozi wa majimbo na matawi kupita nyumba kwa nyumba kufanya sensa na kuwatambua wanachama wa chama hicho ukiwa ni…