
Benki ya NMB yapata idhini kuwa wakala wa madalali wa Soko la Hisa Dar es Salaam
Na Mwandishi Wetu Benki ya NMB imepata idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Mamlaka ya Soko la Mitaji na Dhamana (CSMA) kuwa wakala wa madalali wa Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE). Kupitia idhini hiyo wananchi sasa wataweza kuuza na kununua hisa na hatifungani kupitia mtandao mpana wa matawi 231 wa Benki…