
VIDEO: Sababu kufanyika ibada ya wafu makaburi ya Igoma Mei 21 kila mwaka
Mwanza. “Ilikuwa siku ya masikitiko, mji ulikuwa ukiwa, tuliokuwa shuleni hatukuendelea na mitihani.” Ni kauli ya Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyamhongolo Jimbo Kuu la Mwanza, George Nzungu akisimulia namna tukio la ajali ya MV Bukoba lilivyokuwa. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Mei 21, 2024 katika eneo la Igoma Jijini Mwanza yalipo makaburi ya…