Wafugaji, wakulima kupata bima | Mwananchi

Dar es Salaam. Wakati mchango wa sekta ya mifugo katika Pato la Taifa ukishuka kutoka asilimia saba mwaka 2021 hadi asilimia 6.7 mwaka 2022, Kampuni ya Bima ya CRDB na ACRE Africa zimesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) kwa ajili ya kuikuza sekta hiyo. Takwimu za kushuka kwa mchango wa sekta hiyo, zimetolewa katika hotuba za…

Read More

ELIMU YA BIMA YATOLEWA KWA TAKUKURU KANDA YA ZIWA

Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania kupitia Kanda ya Ziwa imetoa elimu ya bima kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoani Mwanza ambapo jumla ya watumishi wapatao 26 wameshiriki mafunzo hayo. Mada mbalimbali ziliwasilishwa ikiwemo Majukumu ya TIRA, Dhana ya Bima, Bima za Magari, Taratibu za madai, Umuhimu wa kuwa wakala wa…

Read More

Chongolo aja na mbinu mpya ujenzi vyoo bora kwa kaya

Songwe. Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amesema anaanzisha mashindano ya ujenzi wa choo bora wilayani Momba na kaya itakayoibuka na ushindi itajipatia mifuko mitatu ya mbolea. Hatua hiyo imekuja zikiwa zimepita siku chache tangu Mganga Mkuu wa Mkoa huo, Dk Boniface Kasululu kufanya ukaguzi wa vyoo katika kijiji cha Mkutano wilayani Momba na…

Read More

Adam afunguka kilichomng’oa Mashujaa | Mwanaspoti

MUDA mchache baada ya uongozi wa Mashujaa FC kuweka bayana kuachana na kinara wa mabao wa timu hiyo, Adam Adam  mchezaji huyo amevunja ukimya na kufunguka kilichomng’oa. Mshambuliaji huyo mwenye mabao saba katika Ligi Kuu ambaye mkataba alionao na klabu hiyo unaisha mwisho wa msimu huu, ameliambia Mwanaspoti  ameachana na timu hiyo baada ya kuomba…

Read More

WANAHARAKATI WAIPA KONGOLE SERIKALI BAJETI YA WIZARA YA ELIMU

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV WADAU wa Semina za Jinsia na Maendeleo wameipongeza Serikali kuongeza fedha katika bajeti ya Elimu kwa mwaka wa fedha 2024-2025 ambapo itawapatia fursa wanafunzi waliokosa fedha kwa ajili ya kujiendeleza kwenye masomo ya elimu ya juu kwa kuwapatia mikopo ambayo itawasaidia kufikia ndoto zao. Kwenye Bajeti hiyo serikali imetenga fedha…

Read More

Aziz KI ampindua Fei Toto, afikia rekodi ya Mayele

MABAO mawili aliyofunga kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki katika ushindi wa wa 4-0 dhidi ya Dodoma Jiji yamemfanya kufikisha 17, hivyo kuwa kinara akimpiku nyota wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ mwenye 16. Katika mchezo huo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Aziz Ki amefunga mabao hayo…

Read More