
Sh9 bilioni kujenga kituo jumuishi utoaji haki Pemba
Pemba. Kujengwa kwa kituo jumuishi cha utoaji wa haki za kimahakama Kisiwani Pemba, kutawaondolea usumbufu wananchi kufuata huduma ikiwamo ukataji rufaa. Mtendaji Mkuu wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, Kai Bashiru Mbarouk amesema hayo leo Mei 24, 2024 katika hafla ya utiaji saini mkataba kati ya Mahakama ya Tanzania na Kampuni ya M/S Deep Construction Ltd…