
VIDEO: Lishe duni kwa vijana inavyoathiri afya ya uzazi
Dar es Salaam. Lishe duni ya vijana rika la balehe inatajwa kuwa chanzo cha matatizo ya afya ya uzazi miongoni mwa wanawake na wanaume. Upungufu wa virutubisho muhimu kwa watoto na vijana unaelezwa kuathiri via vya uzazi. Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Lishe, Wizara ya Afya, Neema Joshua anasema udumavu, uzito pungufu, ukondefu, uzito kupita…