Zanzibar yasajili laini za simu 849,000

Unguja. Zanzibar imesajili laini za simu za mezani na mkononi 849,082 sawa na kadirio la watumiaji 446,885.  Kati ya laini hizo, idadi ya watumiaji wa simu za mkononi ni 439,470 na simu za mezani ni 7,415 ambao ni sawa na asilimia 23.6 na asilimia 0.4 ya wakazi wa Zanzibar.  Kwa mujibu wa sensa ya watu na…

Read More

Vivuko Kigamboni, zigo zito kwa Temesa-2

Dar/Mikoani. Kama umewahi kuhisi maumivu ya kutwishwa mzigo mzito zaidi ya nguvu zako, basi hali hiyo ndiyo inayoukabili Wakala wa Ufundi na Umeme (Temesa), katika jukumu la uendeshaji wa vivuko nchini. Temesa inatekeleza jukumu hilo kwa mujibu wa sheria ya kuanzishwa kwake ya mwaka 2005, inayotaka pamoja na majukumu mengine ya msingi, wakala huo uwajibike…

Read More

Wajanja sekta ya ardhi wawapiga  hadi mawaziri na wabunge

Dodoma. Unaweza kusema kuti la mazoea limemuangusha mgema, msemo unaoendana na kile kinachowakuta wabunge, manaibu waziri na mawaziri kupigwa viwanja na wajanja. Pengine walijua wanaopigwa ni wanyonge peke yao na kuchelea kuwabaini na kuwakomesha wachache waliokuwa na tabia hiyo, wamekubuhu sasa wanawatapeli hadi watunga sheria wa nchi. Hali hiyo imemsukuma Waziri wa Ardhi, Nyumba na…

Read More

MITAMBO YA KUPIMA UBORA WA BARABARA KULETA MAGEUZI: DKT. TULIA

SPIKA wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya barabara inayokamilia inapimwa ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa serikali. Dkt Tulia amesema hayo leo tarehe 27 Mei 2024 Bungeni Jijini Dodoma wakati akifungua Maonesho ya siku mbili ya sekta ya Ujenzi…

Read More

Wanafunzi 600 Dar walevi? | Mwananchi

Dar es Salaam. ’Inawezekanaje zaidi ya wanafunzi 600 wa shule moja kulewa na kulala darasani wakati wa masomo? Swali hili limekuja ikiwa ni siku chache baada ya Mbunge wa Kibamba, Issa Mtemvu kudai kuwapo kwa  tatizo kubwa la maadili ya watoto ndani ya jimbo lake. “Katika Jimbo la Kibamba ambako Rais amejenga shule nzuri kwa…

Read More