
Kampuni za Ufaransa zatua nchini kusaka fursa za uwekezaji
Dar es Salaam. Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka kampuni 22 wakiambatana na maofisa wa serikali kutoka nchini Ufaransa, wapo nchini kutafuta fursa mpya za biashara katika sekta nishati, miundombinu, utalii, usafirishaji na uendelezaji wa miji. Ujio wa wafanyabiashara hao, unakoleza uhusiano wa kiuchumi baina ya Tanzania na Ufaransa ambao sasa unalenga kuchochea ushirikiano kwenye ubunifu, Pia…