
Lema kutotetea nafasi ya Uenyekiti Kaskazini, makada watofautiana
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kaskazini anayemaliza muda wake, Godbless Lema amesema hatagombea tena kiti hicho, katika uchaguzi ujao wa kanda hiyo utakaofanyika Julai. Lema aliyechaguliwa uenyekiti wa kanda kaskazini mwaka 2019 alitoa msimamo huo jana kupitia akaunti yake ya mtandao wa X zamani Twitter huku akitaja…