
John Mongela akiongea na watumishi wa CCM na Jumuiya zake mkoa wa Tanga
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndugu John V.K Mongella amefanya ziara ya kikazi katika Mkoa wa Tanga na kuzungumza na Watumishi wa CCM na Jumuiya zake, katika kikao hicho amewaeleza Watumishi juu ya suala la Uwajibikaji ni jambo kila mmoja, kila Mtumishi ahakikishe anasimama na Katiba, Miongozo na taratibu zilizowekwa. Amewakumbusha kuandaa mpango kazi…