
Ujumbe wa Eswatini wafika HESLB kujifunza
Ujumbe wa watu watano kutoka Jamhuri ya Kifalme ya Eswatini umeanza ziara ya mafunzo ya siku tano nchini inayolenga kujifunza kuhusu uchini ya uenyeji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB). Katika siku ya kwanza ya ziara hiyo, ujumbe huo (Jumanne, Mei 21, 2023) umefika katika ofisi za HESLB zilizopo eneo…