
TIRDO WAPONGEZWA ZOEZI LA UKUSANYAJI TAARIFA ZA VIWANDA NCHINI
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Omari S.Shaaban amepongeza zoezi la ukusanyaji taarifa za Viwanda inayofanywa na Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO). ‘’Hili zoezi ni muhimu sana hakikisheni mnalikamilisha kwa wakati ili walengwa waweze kupata taarifa sahihi kwani maendeleo ya Viwanda nchini inategemea taarifa…