
Bodi ya Maziwa yatoa tahadhari unywaji maziwa yanayouzwa holela mtaani
Dar es Salaam. Kama unakunywa maziwa yaliyotoka moja kwa moja kwa mfungaji yakiwa yamefungashwa kwenye chupa za plastiki haupo salama kiafya. Bodi ya Maziwa Tanzania (TDB) imetaja magonjwa hatari yanayoweza kumpata mnywaji ni pamoja na tatizo la mimba kutoka ambalo huwapata ng’ombe. Kwa mujibu wa TDB asilimia tano hadi 30 ya ng’ombe wana vimelea vinavyosababisha…