
Wabunge wataja kinachokwamisha biashara | Mwananchi
Dodoma. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuingilia akaunti za wafanyabiashara benki, wawekezaji kutolipa mafao ya wafanyakazi, ugumu wa wazawa kufungua biashara na suala la ‘rumbesa’ ni miongoni mwa kero zilizoelezwa na wabunge kuwa zinakwamisha biashara nchini. Wabunge walieleza vikwazo hivyo, wakati wakichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara iliyowasilishwa bungeni Mei 21,…