
Wanafunzi wanaosomeshwa na Ngorongoro walia kusalitiwa, wajibiwa
Dar es Salaam. Kuwacheleweshe fedha ya karo na za kujikimu kwa wanafunzi 554 wa Sekondari na vyuo kumeibua mvutano mpya kati ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) na Baraza la Wafugaji Tarafa ya Ngorongoro (NPC). Msingi wa mvutano huo ni kitendo cha (NCAA), kushindwa kutekeleza matakwa ya mkataba walioingia tangu mwaka 1994 wa kusomesha…