
Biden, Ruto kujadili msamaha wa deni kwa Kenya wiki hii – DW – 21.05.2024
Rais wa Kenya William Ruto anatarajiwa kukutana na mwenyeji wake rais wa Marekani Joe Biden mjini Washington wiki hii na miongoni mwa masuala makuu yanayotarajiwa kutawala mazungumzo yao ni pamoja na mzozo wa Haiti na juhudi za kuimarisha biashara baina ya Kenya na Marekani. Ziara hiyo ya Rais William Ruto imetajwa kuwa ya kihistoria ikizingatiwa…