
Utafiti kufanyika kubaini sumu ya samaki aina ya kasa
Unguja. Baada ya kutokea vifo vya mara kwa mara vinavyotokana na ulaji wa samaki aina ya kasa, sasa utafanyika utafiti wa sumu asili (Biotoxin) zilizomo ndani ya samaki huyo kuzitambua na athari zake. Baada ya kutambua sumu hizo, elimu itakayopatikana kutokana na utafiti huo itatumika katika kuelimisha jamii kuhusu athari zitokanazo na ulaji wa kasa. Hatua…