
Kuboresha Malipo ya Ada za Shule: Benki ya Exim Yazindua huduma ya ‘Exim Smart Shule’
Katika juhudi za kuboresha teknolojia za kidijitali katika sekta ya elimu, Benki ya Exim imezindua huduma ya ‘Exim Smart Shule’ maarufu kama ‘Shule Kidijitali’, suluhisho la malipo linalorahisisha malipo ya ada za shule moja kwa moja na wazazi, walezi, au wanafunzi wenyewe. Kupitia namba maalum inayotolewa na mfumo, malipo yanaweza kufanyika kwa urahisi kupitia matawi…