
Frateri wa Kanisa Katoliki Tanga adaiwa kujinyonga
Lushoto. Frateri wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Jimboni Tanga, Rogassion Hugho, anadaiwa kujinyonga hadi kufa. Hili ni tukio la pili kwa viongozi wa dini kudaiwa kujinyonga. Mei 16, 2024 mkoani Dodoma, Askofu Mkuu wa Makanisa ya Methodist, Joseph Bundala naye alidaiwa kujinyonga ndani ya ofisi yake iliyopo katika kanisa hilo eneo la Meriwa…