
ANC yaanza kupoteza nguvu zake matokeo ya awali
Johannesburg. Wakati kura zinaendelea kuhesabiwa katika uchaguzi mkuu wa Afrika Kusini yakiendelea kutolewa, matokeo ya awali yanaonyesha kuwa chama tawala cha ANC huenda kikapoteza nguvu zake. Endapo hilo litatokea, ANC italazimika kufanya makubaliano na vyama vingine ili kuunda serikali ya pamoja. Uchaguzi wa washirika wa muungano utategemea umbali wao kutoka alama ya asilimia 50. Iwapo…