
Tanzanite! Viwanja vitatu kupewa fainali FA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) liko mbioni kubatilisha uamuzi wa fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) kuchezwa katika Uwanja wa Tanzanite uliopo Babati, Manyara mapema mwezi ujao huku viwanja vitatu vikitajwa kupewa nafasi kubwa kuchukua fursa hiyo. Viwanja vitatu vinavyopewa nafasi kubwa kuchukua fursa ambayo Uwanja wa Tanzanite, Babati inaelekea kuikosa ni Benjamin…