
Adaiwa kujifungua na kukizika kichanga kukwepa aibu kuzaa nje ya ndoa
Pemba. Mchanga Omar Said, mwanamke anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 35 mkazi wa Kijiji cha Sizini Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, anadaiwa kumfukia mtoto wake baada ya kujifungua. Mwanamke huyo mwenye watoto saba, alitengana na mumewe wake miaka miwili iliyopita, hivyo moja ya sababu ya kufanya ukatili kuogopa aibu kuzaa nje ya…