Utata kifo cha Rais wa Iran, waziri wake

Iran. Wakati Serikali ya Iran ikithibitisha kufariki dunia kwa Rais wa nchi hiyo, Ebrahim Raisi kwa ajali ya helkopta juzi, maswali yameibuka kuhusu kifo hicho. Raisi alikuwa pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Hossein Amir-Abdollahian ambaye pia amefariki dunia wakati walipokuwa wakirejea kutoka nchi jirani ya Azerbaijan kwenye hafla ya uzinduzi…

Read More

BALOZI NCHIMBI ATAKA MAOFISA UTUMISHI KUACHA UONEVU

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi amewataka watumishi wanaosimamia utawala na rasilimali watu sehemu za kazi kuwatendea haki wafanyakazi wote kwa kujiepusha na vitendo vyovyote vya uonevu. Akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wataalam wa Rasilimali Watu na Utawala Duniani, leo Jumatatu, Mei 20, 2024, ambayo kitaifa imefanyika mkoani…

Read More

Kibabage asimulia alivyojikuta hospitali, mama azungumza

BEKI wa kushoto wa Yanga, Nickson Kibabage amesema kwamba alijikuta hospitali baada ya kupoteza fahamu katika mchezo wa Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya Ihefu SC jana, lakini hakumbuki nini kilitokea kabla ya hapo. Kibabage aliyeanguka mwishoni mwa kipindi cha kwanza cha mchezo huo, mwanzoni mwa msimu huu alikuwa akiichezea Singida Fountain Gate kabla ya…

Read More

Kuelekea kimbunga Ialy, wavuvi mkao wa kula, wengine wapuuzia

Tanga/Lindi. Wakati Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ikitahadharisha kuhusu kimbunga Ialy kinachotarajiwa kusababisha upepo mkali nchini kesho Jumanne, Mei 21, 2024, wananchi wanaofanya shughuli zao kwenye ukanda wa pwani wa Bahari ya Hindi wameeleza namna walivyojipanga huku wengine wakiendelea na shughuli zao kama kawaida. Juzi, TMA ilitabiri kimbunga hicho kilichopo umbali wa kilomita…

Read More

Mtibwa Sugar mambo mado magumu

Timu ya Mtibwa Sugar leo imetoka ssuluhu na Namungo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye uwanja wa Manungu Complex, Turiani, Morogoro jambo linalozidisha presha kuhakilisha inasalia kwenye ligi  msimu ujao baada ya kuwa kwenye nafasi ya mwisho katika msimamo. Mtibwa Sugar baada ya mchezo huo uliochezwa kuanzia saa 8:00 mchana imefikisha alama 21…

Read More

WAZIRI JAFO ASHIRIKI KILELE CHA SIKU YA NYUKI DUNIANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. PhilipMpango na viongozi wengine akiwemo Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu waRais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo wakipiga makofi marabaada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodomaleo tarehe 20 Mei, 2024 kuongoza Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya…

Read More

Waziri aipongeza NBS kwa mafanikio

Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande amepongeza Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa utendaji mzuri unaochangia katika kukuza maendeleo ya Taifa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma… (endelea). Chande ametoa pongezi leo tarehe 20 Mei 2024 jijini Dodoma wakati akifungua kikao kazi cha Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa…

Read More

Msigwa, Sugu wanavyopishana wakisaka kura

Mbeya. Wakati Mchungaji Peter Msigwa akianza na Mbeya kusaka kura kutetea nafasi ya uenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, mpinzani wake, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ tayari amemaliza mikoa ya Rukwa na Songwe kusaka kura za wajumbe. Uchaguzi wa chama hicho katika kanda hiyo unatarajiwa kufanyika Mei 29, 2024 katika mji wa Makambako mkoani Njombe ambapo tayari…

Read More