
WIZARA YA MALIASILI YASIMAMIA VEMA UTEKELEZAJI WA MRADI WA BEVAC KWA KUFIKIA WAFUGA NYUKI 10,371 BARA NA VISIWANI.
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma MRADI wa kuboresha Mnyororo wa thamani wa ufugaji nyuki (BEVAC) umewafikia wafugaji nyuki wapatao elfu 10,371 kwaajili ya kuwashika mkono katika vitu mbalimbali ikiwemo vifaa na mafunzo ambapo tayari wameshawafikia wafugaji elfu 3,200 na elfu 7000 kuwatambua na kuwakusanya. Hayo yamebainishwa leo Mei 20,2024 na Mfuatiliaji na Tathmini kwenye mradi…