
Mkuu wa Mkoa Tabora ashuhudia uwekezaji mkubwa Alliance One, awaonya wakulima wasumbufu
Na Mwandishi Wetu, Tabora Mkuu wa mkoa wa Tabora Paulo Chacha, amewaonya Wakulima wa Tumbaku mkoani humo kuacha tabia ya kuchanganya Tumbaku mbaya na nzuri ili kupata madaraja ya juu na kuyasababishia hasara Makampuni ya ununuzi wa zao hilo. Chacha ametoa onyo hilo wakati akizungumza na wakulima wa vyama vya msingi vya ushirika…