
RC Mwanza ahimiza kukamilishwa kwa ujenzi hoteli ya nyota tano
Mwanza. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amehimiza kukamilishwa kwa haraka kwa mradi wa ujenzi wa hotel ya nyota tano mkoani humo inayojengwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Mtanda amesema hayo leo Mei 12, 2024 wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya mradi huo, huku akisisitiza kwamba ni azma…