Mtibwa pointi, Namungo nafasi, | Mwanaspoti

MECHI ya Mei 20, itakayopigwa Uwanja wa Namungo, Morogoro, itakuwa ya kusaka nafasi kwa Namungo kupanda nafasi za juu kwa  Mtibwa Sugar kuongeza pointi hata ikishinda itasalia nafasi ileile (mkiani). Namungo imecheza mechi 27, imeshinda  saba sare 10 na imefungwa  10, inamiliki mabao 22, imefungwa mabao 25 na imekusanya pointi 3, ipo nafasi ya nane, …

Read More

Cadena, Simba ni suala la muda tu

KLABU ya Simba iko mbioni kuachana na kocha wa makipa wa timu hiyo, Dani Cadena baada ya mkataba wake kumalizika mwisho wa msimu huu. Taarifa kutoka ndani ya timu hiyo zimeiambia Mwanaspoti kwamba, Cadena hana mpango wa kuongeza mkataba mwingine licha ya viongozi wa Simba kupambana kumuongezea mwaka mmoja zaidi. “Alisaini mkataba wa mwaka mmoja…

Read More

Ajira walioishia darasa la saba zaondolewa JWTZ

Dodoma. Serikali ya Tanzania imeaondoa utaratibu wa kuandikisha ajira kwa vijana wanaohitimu elimu ya darasa la saba kwenye Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ). Hayo yamesemwa leo Jumatatu Mei 20,2024 na Naibu wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Godfrey Pinda kwa niaba ya Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, alipokuwa akijibu…

Read More

SMZ kupima utendaji kazi watumishi kidijitali

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), itaanza kutumia Mfumo wa Kielektroniki wa Upimaji Utendaji Kazi (PA) ili kuongeza ufanisi katika taasisi za umma. Kwa sasa Serikali inatumia fomu ya upimaji utendaji kazi (PAF) kuwapima watumishi wa taasisi za umma, ambapo utekelezaji wake ulianza tangu Novemba 2019 hadi sasa unaendelea. Hayo yameelezwa na Waziri wa…

Read More

Banda afunguka kuhusu ndoa yake mpya

BAADA ya maswali mengi juu ya ndoa ya beki wa klabu ya  Richards Bay inayoshiriki Ligi Kuu Afrika Kusini, Mtanzania Abdi Banda, mwenyewe kajitokeza na kufafanua ilivyokuwa. Staa huyu amethibitisha kuachana na mkewe wa kwanza, Zabibu Kiba ikiwa ni moja ya swali linaloulizwa na mashabiki wengi hususan mitandaoni, baada ya kuona picha za harusi yake…

Read More

Kamanda Mallya aagwa, Chongolo amtabiria makubwa

Songwe. “Heshimu kazi, penda watu na siyo vitu”. Hayo ni maneno ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Theopista Mallya kwa askari wa Songwe wakati akiagwa rasmi katika mkoa wa Songwe ambako alihudumu pia katika nafasi hiyo kabla ya kuhamishiwa Dodoma. Machi 14, 2024, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camilius Wambura aliwabadilisha vituo…

Read More