
Dabo aitumia salamu Yanga fainali FA
BAADA ya kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho, Kocha wa Azam, Youssouph Dabo amesema kazi bado haijaisha kwani msimu huu wanalitaka kombe la michuano hiyo. Azam FC ilifuzu hatua hiyo kwa ushindi wa 3-0 dhidi ya Coastal Union na sasa watakutana na Yanga iliyofanya hivyo kwa ushindi wa bao 1-0 mbele ya Ihefu. Fainali hiyo…