
Rais wa Iran aripotiwa kufa katika ajali ya helikopta – DW – 20.05.2024
Rais wa Iran Ebrahim Raisi, waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo na wengine wamepatikana wakiwa wamekufa katika eneo la ajali ya helikopta,kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari vya serikali. Raisi alikuwa na umri wa miaka 63. Vyombo vya habari vya serikali havikutoa sababu za haraka za ajali hiyo. Watu wote tisa waliokuwa…