
Chuo Kikuu Kampala chakubali yaishe, kuilipa NSSF Sh4 bilioni
Dar es Salaam. Wamemalizana. Ndiyo neno unaloweza kulitumia kuelezea uamuzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa Kampala nchini Tanzania (KIUT) kuomba kumalizana na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) nje ya Mahakama na kuulipa Sh4 bilioni. Hii ni baada ya Bodi ya Wadhamini ya NSSF kufungua kesi ya madai namba 2 ya mwaka 2023 dhidi ya…