
WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA WANAOTEKELEZA AFUA ZA WANAWAKE
-Awataka watumie taarifa za na takwimu za sensa kuandaa mipango yao WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wadau wanaotekeleza afua mbalimbali za wanawake watumie taarifa na takwimu za sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 katika kuandaa mipango na mikakati ya uwezeshaji wa wanawake nchini. Mbali na hayo pia Mheshimiwa Majaliwa amewasisitiza wadau…