
KMKM yainyoa Malindi, Kundemba ikijitafuta ZPL
Chelsea ya wanawake yatwaa ubingwa wa Ligi Kuu England BAO la dakika 90 lililowekwa kimiani na Salum Akida Shuruku lilimeiwezesha watetezi wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), KMKM kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 mbele ya Malindi na kufufua matumaini ya kutetea taji hilo inalolishikilia kwa misimu mitatu mfululizo tangu mwaka 2021. Ushindi huo uliopatikana kwenye…