Sababu Songwe kuongoza mimba za utotoni

Songwe/Katavi. Mimba za utotoni ni tatizo kubwa linaloathiri jamii nyingi, hasa katika nchi zinazoendelea. Hali hii inahusisha wasichana wenye umri chini ya miaka 18 na ina athari mbaya kwa afya, elimu na maisha yao kwa ujumla. Makala haya yanajadili sababu za mimba za utotoni, athari zake na hatua zinazoweza kuchukuliwa ili kupunguza tatizo hili katika…

Read More

TRA yapiga ‘stop’ magari kuegeshwa vituo vya mafuta

Dar es Salaam. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imepiga marufuku magari yanayopita nchini kuelekea nchi jirani kuegeshwa katika vituo vya mafuta na maeneo mengine ambayo hayajaidhinishwa, ikieleza imebaini njama ya kukwepa kodi. Hata hivyo, Chama cha Wasafirishaji Tanzania (TAT) na Chama cha Wamiliki wa Malori Tanzania (Tamstoa) kwa pamoja vimesema vitatoa tamko. Taarifa kwa umma…

Read More

Utata askofu aliyedaiwa kujinyonga | Mwananchi

Dodoma. Utata umeibuka kuhusu  kifo cha Askofu Mkuu wa Makanisa ya Methodist, Joseph Bundala, baada ya ndugu kusema hakujinyonga kama ilivyosemwa na Jeshi la Polisi, ikidai alikuwa akipokea vitisho kabla ya kifo chake. Askofu huyo alikutwa amejinyonga ndani ya choo kwenye ofisi yake iliyopo katika kanisa hilo eneo la  Meriwa jijini Dodoma Mei 16, mwaka…

Read More

“HONGERENI JKT KWA KUENDELEZA UTALII”- DC KIBAHA

  Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mhe. Nickson Simon John amelipongeza Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kupitia kikosi chake cha Ruvu JKT kwa kuendeleza sekta ya utalii nchini. Mhe. Nickson ameyasema hayo wakati akizindua bustani ya wanyama pori walio wapole iliyopo katika kikosi cha Ruvu JKT kilichopo Wilaya ya Kibaha, mkoani Pwani. Ameongeza kuwa Uzinduzi…

Read More

Wanavyuo Dodoma waonja utamu wa chimbo la nyuki

  TAMASHA la Chimbo la Nyuki lililofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma, limechagiza vyema shamrashamra zinazoanza za Maadhimsho ya Siku ya Nyuki Duniani huku wanavyuo mbalimbali wa Jijini Dodoma wakifurahi, maonesho mbalimbali ya bidhaa zinazotokana na Nyuki pamoja na Maonyesho ya jukwaani kutoka kwa wasanii mbalimbali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).  Akizungumza…

Read More

Azam yatangulia kibabe fainali FA, yazisubiri Yanga, Ihefu

AZAM FC imetangulia kwenda fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) baada ya kuichapa Coastal Union mabao 3-0 kwenye mchezo wa nusu fainali uliopigwa leo Jumamosi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapa ikimsubiri mshindi wa nusu fainali ya pili itakayochezwa kesho Jumapili kati ya Ihefu dhidi ya Yanga. Mabao yaliyoipeleka Azam FC fainali yalifungwa na…

Read More